MADORA TV
MADORA TV
  • Видео 605
  • Просмотров 4 185 100

Видео

PAUL MAKONDA ATOA SIKU SABA ZA MATIBABU BURE ARUSHA | HAKUNA MALIPO YEYOTE
Просмотров 5187 часов назад
#paulmakonda #arusha
PADRI AUWAWA AKATWA SEHEMU ZA SIRI NA MWANAJESHI | ALIMFUMANIA NA MKE WAKE
Просмотров 1,1 тыс.9 часов назад
#mauajiyalbino #mtotoalbino #asimwe
KIGOGO AFICHUA UCHAFU WA MSANII DULVANI | AIOMBA SERIKALI IANZE NA HUYU NI SHOGA ANAHARIBU WATOTO
Просмотров 1,5 тыс.9 часов назад
#kigogo #youtubeshorts
SIKILIZA KKKT WALIVYOMKATAA MTU WAO | WAKANA KUTOKUMJUA
Просмотров 2,1 тыс.9 часов назад
Askofu wa Jimbo katoliki Bukoba, Mhashamu Jovitus Mwijage amemsimamisha kazi Paroko Elipidius Rwegoshora aliyeratibu, kufadhili na kutekeleza mauaji ya Mtoto albino Asimwe kisha kunyofoa viungo vyake ikiwemo ulimi na mikono. Paroko huyu ameshirikiana na Baba mzazi wa Mtoto Asimwe Novart kutekeleza mauji hayo. Askofu ameamua kusimama na upande wa HAKI sasa sijui Kondoo mliokuwa mnamtetea paroko ...
MACHANGUDOA HALI TETE CHALAMILA ATOA ONYO KWA WANAOWATETEA | KUNA WENGINE WAMETELEKEZA WATOTO WAO
Просмотров 3,8 тыс.9 часов назад
#youtubeshorts
SIRI IMEFICHUA PADRI ALIEHUSIKA NA MAUAJI YA ALBINO | UKWELI KUHUSU HUDUMA YAKE NI UTATA
Просмотров 7 тыс.9 часов назад
#albinoauwawa #asimwe
HALI NI MBAYA NCHINI KENYA MAANDAMANO MAKUBWA ERICK OMONDI AKAMATWA | POLISI WAWAKIMBIA WANANCHI
Просмотров 3829 часов назад
Eric Omondi's girlfriend, Lynne Njihia, has mentioned that she's unable to locate Erick Omondi after his arrest earlier today for opposing the Finance Bill 2024. #youtubeshorts
PAUL MAKONDA ALIA FITINA ZIMEANZA ARUSHA WAMCHONGEA KWA WAZIRI MKUU AFUKUZWE KAXI
Просмотров 1,5 тыс.12 часов назад
Baadhi ya Nukuu kutoka kwa Mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda ambaye rasmi amepokelewa hii leo "Sitajali wewe ni nani, Baba yako ni nani, ulipataje hicho cheo, ulipata kwa kuhonga, rushwa au waganga nitakuka sahani moja na wewe" "Wanaosema labda atakuwa amejifuza kutoka kwenye Uenezi, hakuna kilichojifunza". "Hapa nilipo ni matokeo ya maombi, bila maombi Makonda asingekuwepo. Hata kwenye ziara...
CHALAMILA ATANGAZA VITA NA WAGANGA WA DAR | HAMNITISHI SIOGOPI KUROGWA HAMNIWEZI
Просмотров 31112 часов назад
#dadapoa #wanajiuza #madadapoa
Padre akamatwa Mauaji ya Mtoto Mwenye Ulemavu Wa Ngozi | Amshawishi Mzazi Afanye Ukatili Huu
Просмотров 9 тыс.14 часов назад
#albinoauwawa #asimwe
ALICHOSEMA KIGOGO KUHUSU HALI YA MAKAMU WA RAISI JE NI KWELI ..? | UKWELI UMEFICHWA
Просмотров 98214 часов назад
#siasa #chadema #ccm
ASKOFU GWAJIMA AWAKA SIO RAISI ANAKUJA ANAFANYA ANACHOKITAKA HATUTAKI | KILA MTU ANAMAMBO YAKE
Просмотров 69316 часов назад
#askofugwajima #gwajima #mchungajigwajima
AENDA KUOMBEWA APATE MCHUMBA AKATAPA UKICHAA | UCHAWI MADHABAHUNI
Просмотров 25616 часов назад
#shorts
PAUL MAKONDA ASEMA "NINGEKUWA NA MAMLAKA NINGEWAFUKUZA KAZI WOTE" | HII NCHI INAWASHIRIKINA SANA
Просмотров 67219 часов назад
PAUL MAKONDA ASEMA "NINGEKUWA NA MAMLAKA NINGEWAFUKUZA KAZI WOTE" | HII NCHI INAWASHIRIKINA SANA
MBARIKIWA MWAKIPESILE AMTAJA PAUL MAKONDA | AMTOLEA MFANO WA MATUKIO YAKE
Просмотров 4,8 тыс.21 час назад
MBARIKIWA MWAKIPESILE AMTAJA PAUL MAKONDA | AMTOLEA MFANO WA MATUKIO YAKE
HII LAANA DIAMOND NA SHOGA NOEL WAKIVISHANA NGUO | AMMWAGIA SIFA ANAJUA KUMVISHA VIZURI
Просмотров 55721 час назад
HII LAANA DIAMOND NA SHOGA NOEL WAKIVISHANA NGUO | AMMWAGIA SIFA ANAJUA KUMVISHA VIZURI
MAMA SAMIA AWAWASHIA MOTO WAKUU WA MIKOA KUTUMIA MADARAKA VIBAYA | AWATAJA...
Просмотров 11 тыс.День назад
MAMA SAMIA AWAWASHIA MOTO WAKUU WA MIKOA KUTUMIA MADARAKA VIBAYA | AWATAJA...
MKUU WA MKOA CHALAMILA APAGAWA NA ROSE MUHANDO AMUOMBA AIMBE TENA | SIPENDI MASHOGA NA WASAGAJI
Просмотров 2,1 тыс.День назад
MKUU WA MKOA CHALAMILA APAGAWA NA ROSE MUHANDO AMUOMBA AIMBE TENA | SIPENDI MASHOGA NA WASAGAJI
ROSE MUHANDO AUWASHA MOTO KWA MWAMPOSA KAWE | TWENZETU KWA YESU
Просмотров 1,1 тыс.День назад
ROSE MUHANDO AUWASHA MOTO KWA MWAMPOSA KAWE | TWENZETU KWA YESU
ROSE MUHANDO AFANYA MAAJABU TWENZETU KWA YESU KWA MWAMPOSA | WATU WAOMBA ASIONDOKE
Просмотров 9 тыс.День назад
ROSE MUHANDO AFANYA MAAJABU TWENZETU KWA YESU KWA MWAMPOSA | WATU WAOMBA ASIONDOKE
ROSE MUHANDO ATAMBA KUIMBA LIVE ATOA ONYO KWA WAIMBAJI WENZIE "HAWANIWEZI"
Просмотров 4,4 тыс.День назад
ROSE MUHANDO ATAMBA KUIMBA LIVE ATOA ONYO KWA WAIMBAJI WENZIE "HAWANIWEZI"
BABA AFARIKI KWENYE MAZISHI YA MTOTO WAKE | MWANANGU NISAMEHE SANA NAKUFATA HUKO HUKO
Просмотров 2,3 тыс.День назад
BABA AFARIKI KWENYE MAZISHI YA MTOTO WAKE | MWANANGU NISAMEHE SANA NAKUFATA HUKO HUKO
NOEL KIJANA WA DIAMOND ANAEHISIWA KUWA SHOGA | ANAVAA NGUO ZA KIKE
Просмотров 1,8 тыс.День назад
NOEL KIJANA WA DIAMOND ANAEHISIWA KUWA SHOGA | ANAVAA NGUO ZA KIKE
KIGOGO AMLIPUA MWAMPOSA KUTAPELI WATU | AFICHUA KWANINI ANAUNGA MKONO TWITTER KUFUNGIWA
Просмотров 3,3 тыс.День назад
KIGOGO AMLIPUA MWAMPOSA KUTAPELI WATU | AFICHUA KWANINI ANAUNGA MKONO TWITTER KUFUNGIWA
TUKIO ZIMA LA KUKAMATWA KWA MKUU WA MKOA ALIEMLAWITI MWANAFUNZI | AFANDE AFICHUA MAMBO YAKE
Просмотров 2,9 тыс.День назад
TUKIO ZIMA LA KUKAMATWA KWA MKUU WA MKOA ALIEMLAWITI MWANAFUNZI | AFANDE AFICHUA MAMBO YAKE
POLISI WAMKAMATA MKUU WA MKOA ALIEMUINGILIA MWANAFUNZI KINYUME NA MAUMBILE
Просмотров 2,8 тыс.День назад
POLISI WAMKAMATA MKUU WA MKOA ALIEMUINGILIA MWANAFUNZI KINYUME NA MAUMBILE
IMEVUJA MKUU WA MKOA ALIEMLAWITI MWANAFUNZI HII HAPA | KUNA SIRI IMEFICHWA
Просмотров 4,9 тыс.День назад
IMEVUJA MKUU WA MKOA ALIEMLAWITI MWANAFUNZI HII HAPA | KUNA SIRI IMEFICHWA
ROSE MUHANDO AMLILIA ANASTACIA KIATU KIVUE | AWAOMBA WAKENYA NA WATANZANIA KUMCHANGIA
Просмотров 16 тыс.День назад
ROSE MUHANDO AMLILIA ANASTACIA KIATU KIVUE | AWAOMBA WAKENYA NA WATANZANIA KUMCHANGIA

Комментарии

  • @mohamedamini4268
    @mohamedamini4268 14 минут назад

    falagha za bint apewe , pia wewe umetumwa umsafishe dunga dunga

  • @RemigiusRichard-zd3zv
    @RemigiusRichard-zd3zv 10 часов назад

    Wew una uhakika yeye ni paroki

  • @azzaalhabsi1505
    @azzaalhabsi1505 17 часов назад

    Mheshimiwa hawezi kutembea na takataka kama hii. Ila ni kesi tu wamemtengenezea kumchafua mh mkuu wa mkoa.

  • @BenaKimwaga
    @BenaKimwaga 23 часа назад

    Hao ndigu zetu hawana hofu ya mungu sijui kwa vile dini Wana some a utume ni kutoka rohoni sio akili i

  • @astrinomgesi-np5xv
    @astrinomgesi-np5xv День назад

    Amina

  • @paulMshokela
    @paulMshokela День назад

    Kanisa na dhehebu c tatizo hayo ni mawazo ya mtu binafc akutumwa na mtu mwingine

  • @NURUMASIMA
    @NURUMASIMA День назад

    Nakupenda sana mamaangu we simba jike 🙏

  • @KhamisSuleimanAbasi
    @KhamisSuleimanAbasi День назад

    Wewe gwajima Soma Luka 6:12-14

  • @msambalamjukuu3866
    @msambalamjukuu3866 День назад

    Hii yote kua na serikali isiokua umuzi wa kiume

  • @annahulilo6719
    @annahulilo6719 День назад

    Kwani nani alikupa taarifa za "hatumfahamu/hatumjui" na nani alikupa taarifa ya "Tunamsimamisha"? una uhakika na hayo unayosema?!? Unaweza kufafanua na kuweka wazi lengo lako/unachomaanisha? Vinginevyo nakushauri utulie Mahakama ifanye kazi yake.

  • @user-df4bk2kh7u
    @user-df4bk2kh7u День назад

    Nakuomba ee mwenyezi Mungu mwondolee huyu mama matatizo haya katika Marisha yake

  • @elizabethmkayula8770
    @elizabethmkayula8770 День назад

    Wewe madora huwaga huelewi kabisa, hivyo vichwa vya habari vinaonesha dhahiri kumbe hujui kitu. Acha kuchafua Makanisa, hata hayakuhusu na hujui chochote kuhusu misingi ya kanisa. Hivi unaelewa maana ya KKKT ?? Hivi unaelewa maana ya KATOLIKI? Acha kupotosha watu kwa habari zako

    • @madoratv
      @madoratv День назад

      pole kama inauma

  • @isacksimonmahungilo
    @isacksimonmahungilo 2 дня назад

    Inatutia nguvu kwasisi waimbaj wadogo

  • @isacksimonmahungilo
    @isacksimonmahungilo 2 дня назад

    Onatutia nguvu Kwa sis waimbaj wadogo

  • @lucascosmas908
    @lucascosmas908 2 дня назад

    Yaani ukweri mshachelewa kumpiga vita makonda watu washajuwa ukweri kuusu makonda kuwa yeye ndio tegemeo lao na msicho kijuwa ninyi wengi wape sisi tunaomba siku moja makonda ashike kiti cha Raisi Tanzania 🇹🇿 ndio ombi letu kwa mungu makonda oyeee

  • @JoyceGondwe-ve1zu
    @JoyceGondwe-ve1zu 2 дня назад

    Healing mercies from above Mama

  • @VeronicaMuthoki
    @VeronicaMuthoki 2 дня назад

    😮jina la mungu ndio Kila kitu😊

  • @user-rz9xx7nx8t
    @user-rz9xx7nx8t 2 дня назад

    Ni kweri waacheni kwani serekali amtoi ajira.unakuta wazazi wamewasomesha kwa garama kubwa sana kazi awapati.mumekalia kujinufaisha wenyewe kwa kupeana kazi viogozi wengi watoto wao wanakazi

  • @nsiamasawe4578
    @nsiamasawe4578 2 дня назад

    Mwanajeshi ataua wangapi? Amtulize mkewe kwenye tendo siyo kumtisha na sura yake ngumu.

  • @exaverysimon1064
    @exaverysimon1064 2 дня назад

    SAF SANA MKUU NAKUKUBAR SANA

  • @menelus911mene5
    @menelus911mene5 2 дня назад

    Wapowengi hawa ilatumuombe mhe Rais alione hili na mungu amfanyie wepesi kwahili amuone tena kuwa ni ameonewa !!! Ampe nafasi tena kijana huyu kama nihaya tuyaonayo!!! Huyu apanaa😂

  • @NorbethJosphath-hm1zb
    @NorbethJosphath-hm1zb 2 дня назад

    Mzee fanya kazi Mungu Akubaliki tokomeza tabia hizi ungana mchungaji mbalikiwa mwakipesile kutokomiza vitendo hivyo ete falaga hiyo ikiwezeka waende magereza wakafundiswe kazi za kufanya achana madereka ananufaika nn tanzania imeharibika charamila tokomeza wimbi la ukahaba hawo makahaba kila moja aulizwe dini yake aitwe Mchungaji wake au kiongozi wake wadini ndipo viongozi wao watajuwa wanakazi pole sana mkuu wa mkowa

  • @user-hk2oz2eg4j
    @user-hk2oz2eg4j 2 дня назад

    Tanzania ina maajabu. Mtu anaetete wanyonge bas ndio huonekana mjinga. Hii nchi inapelekeshwa na rushwa ndio kikwazo kikuu cha nchi hii.

  • @gasparlubaga5866
    @gasparlubaga5866 2 дня назад

    Mbona hawa watu hawakamatwi?

  • @AmanWilson-th5es
    @AmanWilson-th5es 2 дня назад

    Kwanza habari yenyewe inaonekana si ishu ya kanisa, Na kama ni MTU binafsi mzungumzie huyo mtu, acha kuchafua kanisa, tafadhali sana ututake radha sisi kanisa mapema sana.

  • @ShannyBrowntz
    @ShannyBrowntz 2 дня назад

    Mzee waupakooo kasema kweliii ila Gwajima mpigajii 2

  • @AmanWilson-th5es
    @AmanWilson-th5es 2 дня назад

    Tafadhali sana inashangaza umeandika KKKT ili kuchafua tu, maana habari zinaxosikika ni za katoliki, Ondoa hicho kichwa cha habari , weka kichwa kinachofanana na habari yenyewe.

  • @KingBuddah-nx3ui
    @KingBuddah-nx3ui 2 дня назад

    TAKATAKA ZA RAIS UCHAFU

  • @KingBuddah-nx3ui
    @KingBuddah-nx3ui 2 дня назад

    HATUKUTAKIIIIIO KIUZURU WEWE KIROBA MZIGO

  • @KingBuddah-nx3ui
    @KingBuddah-nx3ui 2 дня назад

    WATANZANIA HUYU RAIS WA HAJABU DUNIANI

  • @KingBuddah-nx3ui
    @KingBuddah-nx3ui 2 дня назад

    WEWE BIBI UNATETEA WEZI MAJAMBAZI WANAVYOFANYIWA WANYONGE KWAKO NI SAWA

  • @KingBuddah-nx3ui
    @KingBuddah-nx3ui 2 дня назад

    SASA WEWE MAMA KESI I HAKIMU KASHATOA UKUMU NA MTU ANAZURUMIWA

  • @KingBuddah-nx3ui
    @KingBuddah-nx3ui 2 дня назад

    WEWE BIBI NI MKANDAMIZAJI NA MWIZI WA WANYONGE

  • @KingBuddah-nx3ui
    @KingBuddah-nx3ui 2 дня назад

    HUYU MAMA C RAIS WA WANYONGE MKANDAMIZAJI

  • @magrethkapinga1811
    @magrethkapinga1811 3 дня назад

    Ameen

  • @user-xr8qv9mw9v
    @user-xr8qv9mw9v 3 дня назад

    Apo umenena km ntalet mikopo itawasaidia

    • @devothasimbi6495
      @devothasimbi6495 2 дня назад

      Mikopo bila elimu ya kutosha kuhusu ulejeshaji mikopo Hiya ni adhabu kunywa kwa mkopaji

  • @Yu-jr9uf
    @Yu-jr9uf 3 дня назад

    hv kwann serikali haiingilii kat haya mambo??? kwann wasianze na hatua kali kwa watu kama hawa?? wanaume kusuka na kuvaa vipuli masikion wengine vpini puan sio katikà njia ya mwenyez Mungu na pia kimaadili sio jambo jema kabisa

  • @LovenesyMhame
    @LovenesyMhame 3 дня назад

    Ila kwer kazid mno hat kusema n kutafuta pesa

  • @makenziejoseph
    @makenziejoseph 3 дня назад

    Uko sawa pasta

  • @user-yj5es1jw8c
    @user-yj5es1jw8c 3 дня назад

    Dada nakukubali atali

  • @OscarAsukenie
    @OscarAsukenie 3 дня назад

    Marekani ni taifa namba 1 duniani kwa uchumi lakini haijajawahi kusema kuwa ukahaba ni tatizo la uchumi kwao. Hivyo hilo ni tatizo dogo sana na ambalo haliwezi kuisha kamwe. Hivyo sikuona sababu ya kujisifia mpaka na mavideo waienda kukamata watu kwenye gesti. Ningeona busara wangefanya hivyo kwa kuwakamata wapigaji wa fedha za serikali hapo ingekuwa la maana sana. kwa hiyo naweza kusema selikal imeshindwa kutatua matatizo makubwa kama ufisadi, madawa ya kulevya miundo mbinu,, hata elimu bure! Inajikingia kivuli kusema et ukahaba wanakomesha wakat wameshindwa tu kulipia watoto ada za chakula. So Kuna siku watu watachafukwa na sijui kama kutakuwa na hii amani tuliyo nayo.

  • @JullieRayvany
    @JullieRayvany 3 дня назад

    Tumeona nini we mchungaji acha zako

  • @JullieRayvany
    @JullieRayvany 3 дня назад

    Mchungaji wangu pascal endelea kuipiga injili watu wamjue MUNGU wa kweli

  • @JudyPatience
    @JudyPatience 3 дня назад

    Utapona mama

  • @VenerandaKundi-ph4hg
    @VenerandaKundi-ph4hg 3 дня назад

    Shida siyo kanisa ila ni mtu binafsi na mambo yake mwenyewe huu ndo wakati wa kusimama na mungu TU we nenda kanisani toa sadaka zaka na malimbuko mbalimbali na mtegemee mungu kama Kuna kiongozi wa kidini we achana naye je ukifa weye mbele hukumu utakuwa naye jumlisha na akili yako shetani anataka kupiga kanisa katolic tuombe kanisa na mapadre wetu hizi ni siku za hatari

  • @femidayahaya9293
    @femidayahaya9293 3 дня назад

    Na saiv akionekana tu anayewatetea mkamateni na yeye mumuadabishe..hawana adabu kabisa

  • @femidayahaya9293
    @femidayahaya9293 3 дня назад

    uckubal baba yangu kuckiliza utetezi wowote ule..endelea kuwaadabisha hao wajinga tena mcwaonee huruma kabisa

  • @mwanyongamama4407
    @mwanyongamama4407 3 дня назад

    Ubarikiwe Sana mfurahishe MUNGU ili tupone Mtumishi Ahsante unajitambua

  • @MaxCharles-wj5dg
    @MaxCharles-wj5dg 3 дня назад

    muajilii vijana Hawa hawana kazi wanajitaftia maisha ww apo umeajiliwa lzm uongee

    • @Carolina-sm5zt
      @Carolina-sm5zt 3 дня назад

      Kwa hiyo Kama huna kazi ndiyo uufanye mwili wako biashala hebu tujaribu kutii amri za Mungu ikiwemo usizini,jamani tuuze hata matunda au mbogamboga na Mungu atabariki kazi yetu lakini siyo ya kuuza mwili

  • @seifmussa4493
    @seifmussa4493 3 дня назад

    Wanahitaji wasekwe ndani